source avatarBitcoin Safaris & Education

Share

SIKU YA 2: LIGHTNING DEVELOPER BOOTCAMP - DAR ES SALAAM 🇹🇿⚡ Siku ya Pili ya Bootcamp ya Ukuzaji wa Lightning . Leo tulienda ndani zaidi ya teknolojia, tukijikita katika Amri za Bitcoin RPC (Remote Procedure Call) . Washiriki walijifunza kwa vitendo jinsi wasanidi programu wanavyoweza kuingiliana moja kwa moja na Bitcoin Core, kuhoji blockchain, kuchunguza block, miamala, na mempool, na kuelewa kinachoendelea chini ya mfumo. Kipindi kiliendeshwa kwa umahiri mkubwa na mwalimu wetu @Extheo, aliyewaongoza washiriki hatua kwa hatua kupitia mazoezi halisi, na kuhakikisha kila mtu anaelewa dhana kwa ufasaha. Udadisi, maswali ya kina, na ushiriki mkubwa kutoka kwa wasanidi programu ndio uliofanya siku hii kuwa ya kipekee na yenye msisimko mkubwa. Siku mbili zimekwisha, zimebaki tatu. Safari ya kujifunza na kujenga inaendelea. 🚀 Shukrani za dhati kwa wadhamini na washirika wetu wote kwa kutuwezesha kufanikisha bootcamp hii. 🙏🏾 @afribitcoiners @HRF @planb_network @tether @btrustteam @btrust_builders @FreeRoutingAf

No.0 picture
No.1 picture
No.2 picture
No.3 picture
Disclaimer: The information on this page may have been obtained from third parties and does not necessarily reflect the views or opinions of KuCoin. This content is provided for general informational purposes only, without any representation or warranty of any kind, nor shall it be construed as financial or investment advice. KuCoin shall not be liable for any errors or omissions, or for any outcomes resulting from the use of this information. Investments in digital assets can be risky. Please carefully evaluate the risks of a product and your risk tolerance based on your own financial circumstances. For more information, please refer to our Terms of Use and Risk Disclosure.