Jana, sinasindika rasmi Lightning Developer Bootcamp hapa Dar es Salaam, Tanzania! 🇹🇿 Tumewakaribisha wasanidi programu wenye shauku kubwa ya kujifunza, kujenga, na kuchangia mustakabali wa Bitcoin na mtandao wa Lightning barani Afrika. Siku ya 1 ilikuwa ya kipekee! Tulijikita katika kuelewa misingi mikuu ya fedha - pesa ni nini, kwa nini inafanya kazi, na jinsi Bitcoin inavyoleta mageuzi katika mfumo mzima wa kifedha. Hii ni msingi imara kwa ajili ya kujenga suluhisho na programu halisi zitakazotatua changamoto za kweli katika jamii zetu. Nishati, udadisi na shauku iliyokuwa ukumbini ilikuwa ya ajabu sana. Vijana wako tayari kubadilisha Afrika kwa kutumia teknolojia ya Bitcoin. Na huu ni mwanzo tu! Bado tuna siku nne zaidi za kujifunza kwa kina, kuandika code, kujenga miradi, na kuunganisha mawazo. Tunatoa shukrani za dhati kwa wadhamini na washirika wetu waliofanya ndoto hii kuwa kweli: @HRF , @btrustteam, @Tether_Africa , @planb_network , @afribitcoiners na @BitcoinSafariTZ Asanteni sana kwa kuamini katika kizazi cha wajenzi wa Afrika! #LightningBootcampTZ #BitcoinTanzania #BuildOnBitcoin #AfriBitcoiners #Tanzania
Bitcoin Safaris & EducationI-share




Source:Ipakita ang original
Disclaimer: Ang information sa page na ito ay maaaring nakuha mula sa mga third party at hindi necessary na nagre-reflect sa mga pananaw o opinyon ng KuCoin. Ibinigay ang content na ito para sa mga pangkalahatang informational purpose lang, nang walang anumang representation o warranty ng anumang uri, at hindi rin ito dapat ipakahulugan bilang financial o investment advice. Hindi mananagot ang KuCoin para sa anumang error o omission, o para sa anumang outcome na magreresulta mula sa paggamit ng information na ito.
Maaaring maging risky ang mga investment sa mga digital asset. Pakisuri nang maigi ang mga risk ng isang produkto at ang risk tolerance mo batay sa iyong sariling kalagayang pinansyal. Para sa higit pang information, mag-refer sa aming Terms ng Paggamit at Disclosure ng Risk.